Up next

Esther mwende ft pastor M. Njoroge cd launch music track - SOSUUN CALTOZ JINAMIZI & KENRAZY

2 Views· 11/06/23
ricadmin
ricadmin
76 Subscribers
76

Ibada ya kanisani imegeuzwa biashara. Hayo yamebainika katika kanisa moja la Embakasi hapa jijini Nairobi, ambapo mhubiri mmoja amejitafutia umaarufu kwa njia za ulaghai. Mhubiri amekuwa akishirikiana na makahaba kuwalaghai waumini. Huyu hapa mpekuzi wetu Mohammed Ali na taarifa ya utapeli kwa jina la Mungu.

Show more

 0 Comments sort   Sort By


Up next