Volgende

#TAZAMA| SINACH NA JOHN LISU WALIVYOSHAMBULIA KUIMBA I KNOW WHO I AM TANZANIA

0 Bekeken· 12/04/23
ricadmin
ricadmin
54,549 abonnees
54,549
In Worship

Na Brighiter Masaki
Mwimbaji mwenye sauti ya mvuto kutokea nchini Nigelia, Thereal Sinach kwa mara ya kwanza Tanzania amefanikiwa kuacha historia katika tamasha la Festival Of Praise.ya kusifu na kuabudu kupitia kipawa chake cha uimbaji
na kupokelewa kwa shangwe na furaha baada ya kupanda kwenye stage.


Sauti yeke yenye mamlaka ambayo ni tunu kwake na kuamua kiutumia kumsifu Mungu haikuishia kanisani tu bali ilibarikiwa zaidi na mataifa yote kutambua uwezo wake wa uimbaji na nyimbo zake zenye kugusa watu wengi.

Mwimbaji huyo mwenye mbegu njema ambayo Mungu ameipanda ndani yake na wengi kufunguliwa kupitia uimbaji/ uandishi wake na tungo zake ameweza kukonga nyoyo za watanzania hasa kwenye wimbo wake wa I know who i am.

Follow us on:
FACEBOOK;
SpotiLeo: https://www.facebook.com/Spotileo-176...
HabariLeo: https://www.facebook.com/habarileo/
DailyNews: https://www.facebook.com/dailynewstz/

INSTAGRAM;
HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig...
SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid...

TWITTER;
Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09

Laat meer zien

 0 Comments sort   Sorteer op


Volgende